Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika picha ya Pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi na Mwanasheria Mkuu wa wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari mara baada ya hafla ya kumuapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali, iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 5 Novemba, 2025